CLAM VEVO NA KICHECHE kufunguliwa rasmi na bodi ya filamu Tanzania.
Baada ya kuonekana wao kupuuza agizo la bodi hiyo ya filamu kwa muda mrefu sana hatimaye siku kadhaa za wiki iliyopita waliwekwa chini ya ulinzi kwa uangalizi wa Jeshi la Polisi hatimaye Juzi wameachiwa rasmi baada ya kukubaliana na taratibu za bodi ya filamu pia wametoa angalizo kwa watu wengine pia Habari ndio Umakini pekeee kwa Content Creator wote unahitajika sana...
Glory to god
ReplyDelete